Ushauri ni jambo la msingi sana katika maisha yetu ya kila siku. Matatizo mengi yanayowakumba vijana na watu wa rika nyingine yasingekuwepo kama ushauri sahihi ungetolewa. Wapo wanaopoteza maisha, na wengine wakizeekea Magerezani lakini tatizo si jingine bali ni ushauri.
Kwa kuwa dhamira yetu kuu ni kuboresha afya za watu na kuwafanya waishi maisha ya furaha ni jukumu letu kuwapatia watu ushauri katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
(a) USHAURI WA AFYA/ MAHUSIANO
Pata ushauri wa afya kutoka 0715 343 161
(b) USHAURI WA KIELIMU
Pata ushuri wa kielimu kutoka kwa 0672 999 266
(b) Pata Ushauri wa Maisha kutoka kwa
nufabg@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni