Jumapili, 15 Januari 2017

Vida, inatibu magonjwa ya moyo

Vida inatoa msaada mkubwa wa kuweka sawa hali moyo. Kwa kiasi kikubwa inasaidia kutanua mishipa ya ateri(hii ni mishipa/mirija inayosambaza damu safi mwilini).
Kutanuka kwa mishipa ya ateri huupa moyo nafasi nzuri ya kusukuma damu katika hali ya kawaida. Mishipa ya ateri ikiwa myembamba moyo hutumia nguvu kubwa ya kusukuma damu, hali hii husababisha presha (BP).
Hivyo kwa matokeo mazuri ya ufanyaji kazi wa moyo tumia lishe hii.
Pia ina uwezo wa kuzuia kisukari na huipa ngozi muonekano wake asilia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni