Jumapili, 15 Januari 2017

Lishe kamili- Complete Phyto-Energizer

Complete Phyto-Energizer ni lishe kamili iliyochukua virutubisho muhimu kuliko lishe nyingine yoyote. Ina mchanganyiko wa
*Juice ya matunda
*Juisi ya mbogamboga
*Amino asidi 18
*na mbogamboga nyingine za majani.
Manufaa yake
*Inaongeza nguvu mwilini
*Inaharakisha umeng'enyaji wa chakula na ufyonzwaji kwenda katika mirija ya damu.
*Ni lishe pekee inayosaidia kutozeeka upesi, yaani mtu anakuwa na umri wa uzee lakini muonekano wa ujana.
   Ni lishe ambayo kila mmoja anatakiwa aipate kwa manufaa yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni