Vitamin A ni moja ya virutubisho muhimu katika mwili wa binadamu. Vitamin hivi huboresha nuru ya macho kuona, huboresha mfumo wa kinga mwilini, huboresha afya ya ngozi na mifupa.
Vitamin A hupatikana kwa wingi katika vyakula vifuatavyo, mayai, nyama, maini, mboga za majani kama vile spinachi, mchicha na kadhalika.
Madhara ya upungufu wa Vitamin A.
Yapo madhara mengi yanayoweza kutokea kutokana na upungufu wa Vitamin A yakiwemo,
Matatizo ya figo, Matatizo ya ngozi na Kutoona vizuri wakati wa usiku-hii itaelezwa kwa kina katika makala inayofuata.
Jumapili, 15 Januari 2017
Vitamin A, faida na matatizo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni