Complete Phyto-Energizer ni lishe kamili iliyochukua virutubisho muhimu kuliko lishe nyingine yoyote. Ina mchanganyiko wa
*Juice ya matunda
*Juisi ya mbogamboga
*Amino asidi 18
*na mbogamboga nyingine za majani.
Manufaa yake
*Inaongeza nguvu mwilini
*Inaharakisha umeng'enyaji wa chakula na ufyonzwaji kwenda katika mirija ya damu.
*Ni lishe pekee inayosaidia kutozeeka upesi, yaani mtu anakuwa na umri wa uzee lakini muonekano wa ujana.
Ni lishe ambayo kila mmoja anatakiwa aipate kwa manufaa yake.
Jumapili, 15 Januari 2017
Lishe kamili- Complete Phyto-Energizer
Dawa ya meno halisi- Naturacentials Herbal Toothpaste
Usafi wa kinywa ni sehemu nyeti katika kutunza na kuboresha afya zetu. Umakini mkubwa unahitajika katika kuhakikisha kinywa kinabaki safi na salama. Kwa kutumia dawa ya meno
ya Naturacentials Herbal
Toothpaste ambayo imekidhi viwango vya kimataifa ni njia sahihi ya kuhakikisha usafi na usalama wa kinywa chako. Dawa ya meno ya Naturacentials Herbal
Inakuhakikishia
*Ulinzi wa meno na fizi
*Harufu nzuri ya kinywa
*Inamaliza kabisa tatizo la kutoboka kwa meno
*Kama meno yametoboka huwekewa ulinzi yasiathirike zaidi
*Ulinzi zidi ya mashambulizi ya bakteria au fangasi kinywani
*Inaondoa uvimbe mdomoni
Agiza sasa kwa matokeo bora ya afya ya kinywa chako-0715343161
MyChoco, Manufaa yake katika mwili
MyChoco ni chokoleti halisi iliyotengenezwa katika ubora wa hali ya juu. Mychoco imekusanya vitu muhimu (virutubisho) vyenye msaada mkubwa katika kuboresha afya. MyChoco imeundwa na maziwa, sukari,
Matumizi ya MyChoCo inaweza kutumika kwa kuchanganya na maji ya moto au maji baridi(kwa matumizi ya vipimo piga-0715 343 161).
Manufaa yake mwilini
Baadhi ya manufaa ya MyChoco ni
*Hupunguza mafuta y a ziada mwilini (cholesteral)
*Inasaidia kuzuia aina zote za kansa
*Inazuia msukumo wa damu mkubwa (high blood pressure)
*Inazuia ugonjwa wa viungo kutetemeka
*Inaboresha na kuupa nguvu mfumo wa kinga mwilini
*Huondoa sumu mwilini
*Inaongeza nguvu ya mbegu za uzazi kwa wanaume
*Inampatia mtu nguvu zaidi katika kufanya mazoezi
Usiache kuuliza kupitia comment kama haujaelewa.
Vida, inatibu magonjwa ya moyo
Vida inatoa msaada mkubwa wa kuweka sawa hali moyo. Kwa kiasi kikubwa inasaidia kutanua mishipa ya ateri(hii ni mishipa/mirija inayosambaza damu safi mwilini).
Kutanuka kwa mishipa ya ateri huupa moyo nafasi nzuri ya kusukuma damu katika hali ya kawaida. Mishipa ya ateri ikiwa myembamba moyo hutumia nguvu kubwa ya kusukuma damu, hali hii husababisha presha (BP).
Hivyo kwa matokeo mazuri ya ufanyaji kazi wa moyo tumia lishe hii.
Pia ina uwezo wa kuzuia kisukari na huipa ngozi muonekano wake asilia.
Tatizo la kutoona vizuri wakati wa usiku
Tatizo la kutoona vizuri wakati wa usiku limekuwa ni kawaida hususani katika nchi zinazoendelea. Hali hii humfanya mtu ashindwe kuona vizuri na hivyo kukwamisha harakati zake za usiku. Mara nyingi hali hii ilikuwa ikiwakuta watoto na wazee lakini sasa tatizo limehamia katika rika zote. Kwa bahati mbaya watu wengi hawajui ni nini chanzo cha tatizo hilo. Hivyo inakuwa ni vigumu mtu kupata ufumbuzi wa tatizo. Ukweli ni kwamba tatizo la Kutoona Vizuri wakati wa usiku husababishwa na UPUNGUFU WA VITAMIN A MWILINI.
Vitamin A vina msaada mkubwa katika kuboresha nuru ya macho kuona. Ufumbuzi wa tatizo hili ni kuongeza ulaji wa vyakula vyenye vitamin A, Kwa matokeo ya haraka tumia kirutubisho cha C24/7 kina wingi wa Vitamin A vitakavyoondoa tatizo lako ndani ya muda mfupi.Kupata kirutubisho hiki piga simu 07153434161/0672999266.
Jali afya yako kabla haujafika wakati wa kukugharimu mamilioni ya pesa kwa tatizo ambalo linaweza kutibika sasa kw Gharama ndogo kabisa.
Vitamin A, faida na matatizo
Vitamin A ni moja ya virutubisho muhimu katika mwili wa binadamu. Vitamin hivi huboresha nuru ya macho kuona, huboresha mfumo wa kinga mwilini, huboresha afya ya ngozi na mifupa.
Vitamin A hupatikana kwa wingi katika vyakula vifuatavyo, mayai, nyama, maini, mboga za majani kama vile spinachi, mchicha na kadhalika.
Madhara ya upungufu wa Vitamin A.
Yapo madhara mengi yanayoweza kutokea kutokana na upungufu wa Vitamin A yakiwemo,
Matatizo ya figo, Matatizo ya ngozi na Kutoona vizuri wakati wa usiku-hii itaelezwa kwa kina katika makala inayofuata.
Bidhaa ya C24/7
Inatoa lishekamili na Ulinzi wa muda mrefu.
C24/7 imeundwa na kutengenezwa kwa njia ya asili hivyo ni rafiki kwa afya ya Binadamu.
Ni chakula kilichoandaliwa kwa ujuzi wa hali ya juu ikiwa na
Virutubisho muhimu na ina Zaidi ya Vikingasumu 22,000.
C24/7 Ina Vitamini 29 pamoja na madini muhimu katika mwili wa
Binadamu kuanzia Vitamin A hadi
madini ya Zinc.Vitamin na madini haya husaidia kwa kiasi kikubwa Kujenga na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.
Ina mchanganyiko wa juisi ya matunda 12 na mboga mboga aina 12.
Pia C24/7 ina amino aside ambazo ni muhimu kwa ajili ya kujenga misuli.
Pia ina vyakula aina 12 vitokanavyo na mmea ikiwemo Chlorophyll(Chanikiwiti).
Vilevile ndaninyake kuna mchanganyiko wa Uyoga aina 12 tofautitofauti inayopatikana
Duniani.
Si hivyo tu bali pia C24/7 ina aina 12 za vimeng’enya mavyo husaidia ufanyaji kazi mzuri wa
Mfumo wa Umeng’enyaji wa chakula. Ina virutubisho maalumu 12 ikiwemo na B-COMPLEX